Matendo 15:5 BHN

5 Lakini waumini wengine waliokuwa wa kikundi cha Mafarisayo walisimama, wakasema, “Ni lazima watu wa mataifa mengine watahiriwe na kufundishwa kuifuata sheria.”

Kusoma sura kamili Matendo 15

Mtazamo Matendo 15:5 katika mazingira