Matendo 16:12 BHN

12 Kutoka huko, tulikwenda mpaka Filipi, mji wa wilaya ya kwanza ya Makedonia, na ambao pia ni koloni la Waroma. Tulikaa katika mji huo siku kadhaa.

Kusoma sura kamili Matendo 16

Mtazamo Matendo 16:12 katika mazingira