Matendo 16:13 BHN

13 Siku ya Sabato tulitoka nje ya mji, tukaenda kando ya mto ambapo tulidhani ya kuwa ni mahali pa kusali. Tuliketi, tukaongea na wanawake waliokusanyika mahali hapo.

Kusoma sura kamili Matendo 16

Mtazamo Matendo 16:13 katika mazingira