19 Matajiri wa yule msichana walipoona kwamba tumaini lao la kupata mali limekwisha, waliwakamata Paulo na Sila, wakawaburuta mpaka hadharani, mbele ya wakuu.
Kusoma sura kamili Matendo 16
Mtazamo Matendo 16:19 katika mazingira