Matendo 16:18 BHN

18 Akawa anafanya hivyo kwa siku nyingi hata siku moja Paulo alikasirika, akamgeukia na kumwambia huyo pepo, “Nakuamuru kwa jina la Yesu Kristo, mtoke huyu!” Mara huyo pepo akamtoka.

Kusoma sura kamili Matendo 16

Mtazamo Matendo 16:18 katika mazingira