Matendo 16:26 BHN

26 Ghafla, kulitokea mtetemeko mkuu wa ardhi ambao uliitikisa misingi ya gereza. Mara, milango yote ikafunguka na minyororo iliyowafunga hao wafungwa ikaachana.

Kusoma sura kamili Matendo 16

Mtazamo Matendo 16:26 katika mazingira