Matendo 16:27 BHN

27 Askari wa gereza alipoamka na kuiona milango ya gereza imefunguliwa, alidhani kwamba wafungwa wote walikuwa wametoroka, na hivyo akauchomoa upanga wake, akataka kujiua.

Kusoma sura kamili Matendo 16

Mtazamo Matendo 16:27 katika mazingira