Matendo 22:24 BHN

24 Mkuu wa jeshi aliwaamuru watu wake wampeleke Paulo ndani ya ngome, akawaambia wamchape viboko ili wapate kujua kisa cha Wayahudi kumpigia kelele.

Kusoma sura kamili Matendo 22

Mtazamo Matendo 22:24 katika mazingira