26 Yule jemadari aliposikia hayo, alimpasha habari mkuu wa jeshi akisema, “Unataka kufanya nini? Mtu huyu ni raia wa Roma!”
Kusoma sura kamili Matendo 22
Mtazamo Matendo 22:26 katika mazingira