Matendo 23:19 BHN

19 Mkuu wa jeshi alimshika huyo kijana mkono, akampeleka mahali pa faragha, akamwuliza, “Una nini cha kuniambia?”

Kusoma sura kamili Matendo 23

Mtazamo Matendo 23:19 katika mazingira