20 Yeye akasema, “Wayahudi wamepatana wakuombe umpeleke Paulo Barazani wakijisingizia kwamba Baraza lingependa kupata habari kamili zaidi juu yake.
Kusoma sura kamili Matendo 23
Mtazamo Matendo 23:20 katika mazingira