Matendo 24:18 BHN

18 Wakati nilipokuwa nikifanya hayo ndipo waliponikuta hekaluni, nilipokuwa nimekwisha fanya ile ibada ya kujitakasa. Hakukuwako kundi la watu wala ghasia.

Kusoma sura kamili Matendo 24

Mtazamo Matendo 24:18 katika mazingira