Matendo 24:19 BHN

19 Lakini kulikuwa na Wayahudi wengine kutoka mkoa wa Asia; hao ndio wangepaswa kuwa hapa mbele yako na kutoa mashtaka yao kama wana chochote cha kusema dhidi yangu.

Kusoma sura kamili Matendo 24

Mtazamo Matendo 24:19 katika mazingira