Matendo 25:10 BHN

10 Paulo akajibu, “Nasimama mbele ya mahakama ya Kaisari, na papa hapa ndipo ninapopaswa kupewa hukumu. Kama unavyojua vizuri, sikuwatendea Wayahudi ubaya wowote.

Kusoma sura kamili Matendo 25

Mtazamo Matendo 25:10 katika mazingira