Matendo 25:9 BHN

9 Festo alitaka kujipendekeza kwa Wayahudi na hivyo akamwuliza Paulo, “Je, ungependa kwenda Yerusalemu na huko ukahukumiwe mbele yangu kuhusu mashtaka haya?”

Kusoma sura kamili Matendo 25

Mtazamo Matendo 25:9 katika mazingira