Matendo 4:12 BHN

12 Wokovu haupatikani kwa mtu mwingine yeyote, kwa maana duniani pote, binadamu hawakupewa jina la mtu mwingine ambaye sisi tunaweza kuokolewa naye.”

Kusoma sura kamili Matendo 4

Mtazamo Matendo 4:12 katika mazingira