31 Walipomaliza kusali, pale mahali walipokuwa wamekutanika pakatikiswa, nao wote wakajazwa Roho Mtakatifu. Wote wakaanza kuhubiri neno la Mungu bila woga.
Kusoma sura kamili Matendo 4
Mtazamo Matendo 4:31 katika mazingira