Matendo 4:32 BHN

32 Jumuiya yote ya waumini ilikuwa na moyo mmoja na roho moja. Hakuna hata mmoja aliyekuwa na kitu chochote akakiweka kuwa mali yake binafsi, ila waligawana vyote walivyokuwa navyo.

Kusoma sura kamili Matendo 4

Mtazamo Matendo 4:32 katika mazingira