Matendo 5:15 BHN

15 Hata watu walikuwa wakipeleka wagonjwa barabarani na kuwalaza juu ya vitanda na mikeka ili Petro akipita, walau kivuli chake kiwaguse baadhi yao.

Kusoma sura kamili Matendo 5

Mtazamo Matendo 5:15 katika mazingira