Matendo 5:16 BHN

16 Watu wengi walifika kutoka katika miji ya kandokando ya Yerusalemu, wakiwaleta wagonjwa wao na wale waliokuwa na pepo wachafu, nao wote wakaponywa.

Kusoma sura kamili Matendo 5

Mtazamo Matendo 5:16 katika mazingira