Matendo 5:2 BHN

2 Lakini, mkewe akiwa anajua, Anania akajiwekea sehemu ya fedha alizopata na ile sehemu nyingine akawakabidhi mitume.

Kusoma sura kamili Matendo 5

Mtazamo Matendo 5:2 katika mazingira