Matendo 5:3 BHN

3 Basi, Petro akamwuliza, “Anania, mbona Shetani ameuingia moyo wako na kukufanya umdanganye Roho Mtakatifu kwa kujiwekea sehemu ya fedha ulizopata kutokana na lile shamba?

Kusoma sura kamili Matendo 5

Mtazamo Matendo 5:3 katika mazingira