Matendo 6:11 BHN

11 Kwa hiyo waliwahonga watu kadhaa waseme: “Tumemsikia Stefano akisema maneno ya kumkashifu Mose na kumkashifu Mungu.”

Kusoma sura kamili Matendo 6

Mtazamo Matendo 6:11 katika mazingira