Matendo 6:12 BHN

12 Kwa namna hiyo, waliwachochea watu, wazee na waalimu wa sheria. Basi, wakamjia Stefano, wakamkamata na kumleta mbele ya Baraza Kuu.

Kusoma sura kamili Matendo 6

Mtazamo Matendo 6:12 katika mazingira