Matendo 7:29 BHN

29 Baada ya kusikia hayo, Mose alikimbia, akaenda kukaa katika nchi ya Midiani na huko akapata watoto wawili.

Kusoma sura kamili Matendo 7

Mtazamo Matendo 7:29 katika mazingira