Matendo 9:24 BHN

24 Lakini Saulo alipata habari ya mpango huo. Usiku na mchana walilinda milango ya kuingia mjini ili wapate kumuua.

Kusoma sura kamili Matendo 9

Mtazamo Matendo 9:24 katika mazingira