Matendo 9:36 BHN

36 Kulikuwa na mfuasi mmoja mwanamke mjini Yopa aitwaye Tabitha (kwa Kigiriki ni Dorka, maana yake, Paa). Huyo mwanamke alikuwa akitenda mema na kuwasaidia maskini daima.

Kusoma sura kamili Matendo 9

Mtazamo Matendo 9:36 katika mazingira