5 Salmoni alimzaa Boazi (mama yake Boazi alikuwa Rahabu)Boazi na Ruthu walikuwa wazazi wa Obedi,Obedi alimzaa Yese,
6 naye Yese alimzaa Mfalme Daudi.Daudi alimzaa Solomoni (mama yake Solomoni alikuwa Bath-Sheba mke wa Uria).
7 Solomoni alimzaa Rehoboamu,Rehoboamu alimzaa Abiya,Abiya alimzaa Asa,
8 Asa alimzaa Yehoshafati,Yehoshafati alimzaa Yoramu,Yoramu alimzaa Uzia,
9 Uzia alimzaa Yothamu,Yothamu alimzaa Ahazi,Ahazi alimzaa Hezekia,
10 Hezekia alimzaa Manase,Manase alimzaa Amoni,Amoni alimzaa Yosia,
11 Yosia alimzaa Yekonia na ndugu zake.Huo ulikuwa wakati Wayahudi walipopelekwa uhamishoni Babuloni.