Mathayo 12:32 BHN

32 Tena, asemaye neno la kumpinga Mwana wa Mtu atasamehewa, lakini yule asemaye neno la kumpinga Roho Mtakatifu, hatasamehewa, wala katika ulimwengu huu, wala katika ulimwengu ujao.

Kusoma sura kamili Mathayo 12

Mtazamo Mathayo 12:32 katika mazingira