Mathayo 12:38 BHN

38 Kisha baadhi ya waalimu wa sheria na Mafarisayo wakamwambia Yesu, “Mwalimu, tunataka kuona ishara kutoka kwako.”

Kusoma sura kamili Mathayo 12

Mtazamo Mathayo 12:38 katika mazingira