Mathayo 12:39 BHN

39 Naye akawajibu, “Kizazi kiovu kisicho na uaminifu! Mnataka ishara, lakini hamtapewa ishara isipokuwa ile ishara ya nabii Yona.

Kusoma sura kamili Mathayo 12

Mtazamo Mathayo 12:39 katika mazingira