Mathayo 13:15 BHN

15 Maana akili za watu hawa zimepumbaa,wameyaziba masikio yao,wameyafumba macho yao.La sivyo, wangeona kwa macho yao,wangesikia kwa masikio yao,wangeelewa kwa akili zao,na kunigeukia, asema Bwana,nami ningewaponya.’

Kusoma sura kamili Mathayo 13

Mtazamo Mathayo 13:15 katika mazingira