Mathayo 13:30 BHN

30 Acheni vikue pamoja mpaka wakati wa mavuno. Wakati huo nitawaambia wavunaji: Kusanyeni kwanza magugu mkayafunge mafungumafungu ya kuchomwa. Lakini ngano ikusanyeni mkaiweke ghalani mwangu.’”

Kusoma sura kamili Mathayo 13

Mtazamo Mathayo 13:30 katika mazingira