Mathayo 13:31 BHN

31 Yesu akawaambia watu mfano mwingine: “Ufalme wa mbinguni unafanana na mbegu ya haradali aliyotwaa mtu mmoja, akaipanda katika shamba lake.

Kusoma sura kamili Mathayo 13

Mtazamo Mathayo 13:31 katika mazingira