Mathayo 13:32 BHN

32 Yenyewe ni ndogo kuliko mbegu zote, lakini ikisha ota huwa kubwa kuliko mimea yote. Hukua ikawa mti, hata ndege wa angani huja na kujenga viota katika matawi yake.”

Kusoma sura kamili Mathayo 13

Mtazamo Mathayo 13:32 katika mazingira