Mathayo 16:23 BHN

23 Lakini Yesu akageuka, akamwambia Petro, “Ondoka mbele yangu, Shetani! Wewe ni kikwazo kwangu. Mawazo yako si ya kimungu ila ni ya kibinadamu!”

Kusoma sura kamili Mathayo 16

Mtazamo Mathayo 16:23 katika mazingira