Mathayo 16:24 BHN

24 Kisha Yesu akawaambia wanafunzi wake, “Mtu yeyote akitaka kuwa mfuasi wangu, lazima ajikane mwenyewe, auchukue msalaba wake, anifuate.

Kusoma sura kamili Mathayo 16

Mtazamo Mathayo 16:24 katika mazingira