Mathayo 19:12 BHN

12 Maana kuna sababu kadhaa za kutoweza kuoa: Wengine ni kwa sababu wamezaliwa hivyo, wengine kwa sababu wamefanywa hivyo na watu, na wengine wameamua kutooa kwa ajili ya ufalme wa mbinguni. Awezaye kulipokea fundisho hili na alipokee.”

Kusoma sura kamili Mathayo 19

Mtazamo Mathayo 19:12 katika mazingira