Mathayo 19:13 BHN

13 Kisha watu wakamletea Yesu watoto wadogo ili awawekee mikono na kuwaombea. Lakini wanafunzi wakawakemea.

Kusoma sura kamili Mathayo 19

Mtazamo Mathayo 19:13 katika mazingira