Mathayo 19:28 BHN

28 Yesu akawaambia, “Nawaambieni kweli, Mwana wa Mtu atakapoketi katika kiti chake cha enzi kitukufu katika ulimwengu mpya, nyinyi mlionifuata mtaketi katika viti kumi na viwili mkiyahukumu makabila kumi na mawili ya Israeli.

Kusoma sura kamili Mathayo 19

Mtazamo Mathayo 19:28 katika mazingira