Mathayo 19:29 BHN

29 Na kila aliyeacha nyumba, au ndugu, au dada, au baba, au mama, au watoto, au mashamba, kwa ajili yangu, atapokea mara mia zaidi, na kupata uhai wa milele.

Kusoma sura kamili Mathayo 19

Mtazamo Mathayo 19:29 katika mazingira