Mathayo 20:21 BHN

21 Yesu akamwuliza, “Unataka nini?” Huyo mama akamwambia, “Ahidi kwamba katika ufalme wako, hawa wanangu wawili watakaa mmoja upande wako wa kulia na mwingine upande wako wa kushoto.”

Kusoma sura kamili Mathayo 20

Mtazamo Mathayo 20:21 katika mazingira