Mathayo 20:22 BHN

22 Yesu akajibu, “Hamjui mnaomba nini. Je, mnaweza kunywa kikombe nitakachokunywa mimi?” Wakamjibu, “Tunaweza.”

Kusoma sura kamili Mathayo 20

Mtazamo Mathayo 20:22 katika mazingira