Mathayo 20:23 BHN

23 Yesu akawaambia, “Kweli mtakunywa kikombe changu, lakini kuketi kulia au kushoto kwangu si kazi yangu kupanga; jambo hilo watapewa wale waliowekewa tayari na Baba yangu.”

Kusoma sura kamili Mathayo 20

Mtazamo Mathayo 20:23 katika mazingira