Mathayo 21:10 BHN

10 Yesu alipokuwa anaingia Yerusalemu, mji wote ukajaa ghasia. Watu wakawa wanauliza, “Huyu ni nani?”

Kusoma sura kamili Mathayo 21

Mtazamo Mathayo 21:10 katika mazingira