Mathayo 21:9 BHN

9 Makundi ya watu waliomtangulia na wale waliomfuata wakapaza sauti:“Sifa kwa Mwana wa Daudi!Abarikiwe huyo ajaye kwa jina la Bwana!Sifa kwa Mungu juu!”

Kusoma sura kamili Mathayo 21

Mtazamo Mathayo 21:9 katika mazingira