Mathayo 21:8 BHN

8 Umati mkubwa wa watu wakatandaza nguo zao barabarani, na watu wengine wakakata matawi ya miti wakayatandaza barabarani.

Kusoma sura kamili Mathayo 21

Mtazamo Mathayo 21:8 katika mazingira