Mathayo 21:31 BHN

31 Je, ni nani kati ya hawa wawili aliyetimiza matakwa ya baba yake?” Wakamjibu, “Yule mtoto wa kwanza.”Basi, Yesu akawaambia, “Kweli nawaambieni, watozaushuru na waasherati wataingia katika ufalme wa Mungu kabla yenu.

Kusoma sura kamili Mathayo 21

Mtazamo Mathayo 21:31 katika mazingira