Mathayo 21:32 BHN

32 Maana Yohane alikuja kwenu akawaonesha njia adili ya kuishi, nanyi hamkumwamini; lakini watozaushuru na waasherati walimwamini. Hata baada ya kuona hayo yote nyinyi hamkutubu na kumsadiki.”

Kusoma sura kamili Mathayo 21

Mtazamo Mathayo 21:32 katika mazingira