Mathayo 21:5 BHN

5 “Uambieni mji wa Siyoni:Tazama, Mfalme wako anakujia!Ni mpole na amepanda punda,mwanapunda, mtoto wa punda.”

Kusoma sura kamili Mathayo 21

Mtazamo Mathayo 21:5 katika mazingira